JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari mlipuko wa Ebola

Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa janga la Ebola ambao unaripotiwa kutokea nchi jirani ya Uganda huku wakitakiwa kuondokana na safari zisizo za lazima ili kuepukana na ugonjwa huo. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Rais wa Chama cha…

TAUS:Kuna uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji maradhi ya mkojo,uzazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa maradhi ya njia ya mkojo na uzazi ambapo waliopo ni 100 tu ambao hawakidhi mahitaji kulingana na idadi ya wagonjwa hao waliopo. Hayo yamesemwa jijini Arusha…

Tanzania yaanza kufikia mabadiliko endelevu ya kidijitali

Na Innocent Mungy,JamhuriMedia,Bucharest Tanzania inatekeleza mfumo wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali, ambao utahakikisha sekta zote za uchumi zinatumia TEHAMA huku ikiwezesha mabadiliko ya kidijitali yanayojenga jamii jumuishi ya kidijitali kwa ajili ya maendeleo endelevu. Hayo yalisemwa na Mheshimiwa Nape…

Bondia Class atamba kumchapa Mmexco

Bondia wa Tanzania Ibrahim Class anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mpinzani wake kutoka Mexico, Gustavo Pina katika pambano la kimataifa la uzito wa feather litakalofanyika kesho (Septemba 30) kwenye ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza mara baada ya kupima uzito…