Latest Posts
Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (1)
Hivi karibuni Tume ya Uchaguzi imetangaza na kualika taasisi na asasi mbalimbali wanaotaka kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura waombe kufanya hivyo kwa tume. Ni utaratibu mzuri, tena utasaidia sana wananchi kulielewa suala zima la uchaguzi. Kwa jinsi hali…
Uchumi unakua kwa kasi – Benki Kuu
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi pamoja na kuwapo changamoto zinazotokana na kudorora kwa hali ya uchumi wa dunia ambazo zimesababisha kuyumba kwa biashara na uwekezaji duniani. Katika toleo la hivi karibuni la…
Mapato yasaidia kudhibiti deni la ndani la Serikali
Deni la serikali la ndani lilipungua kwa mara ya kwanza mwaka jana katika kipindi cha miaka kumi kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani ambayo hivi sasa yamefikia Sh trilioni 1.6 kwa mwezi, JAMHURI limebaini. Takwimu mpya za…
Sheria ya huduma ndogo za fedha kulinda masilahi ya wanyonge, watoa huduma
Kukosekana kwa sheria ya kusimamia, kuratibu na kuendeleza sekta ndogo ya fedha kwa muda mrefu nchini kumesababisha huduma kutolewa kiholela huku watumiaji na watoa huduma wakiathirika. Kwa mujibu wa Naibu Kamishna wa Idara ya Maendeleo ya Huduma Ndogo za Fedha…
Ndugu Rais, Daniel arap Moi naye amepita
Ndugu Rais, aliyekuwa Rais wa Kenya kwa takriban miaka 24, Rais Daniel arap Moi, naye sasa amepita! Wakati fulani nikiwa Nairobi nikaambiwa kuwa kufikiria tu kuwa Rais Daniel arap Moi anaweza kuugua au kufa, ulikuwa ni uhaini! Lakini sasa naye…
Buriani Alhaj Simba, ulikuwa tumaini, utabakia mfano
Kifo ni maendeleo kwa maana ya mabadiliko yanayomtoa mwanadamu kutoka katika hali moja hadi nyingine. Moja ya maana ya kifo ni kutengana kwa roho na mwili baada ya kuunganishwa kwa njia ya kupuliziwa roho katika mwili pale mimba inapofikisha arobaini…





