Latest Posts
Mwanasheria Mkuu ahimiza mageuzi ya sheria za anga kukabiliana na AI na teknolojia mpya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesisitiza juu ya umuhimu wa kutambua mabadiliko na mageuzi makubwa ya kiteknolojia kunakopelekea ongezeko la matumizi ya Akili Bandia (AI), ndege zisizo na rubani, mifumo ya kidijitali…
Malalamiko ya viwanja mbadala yapatiwa ufumbuzi Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji…
Serikali yaweka mkakati wa kutangaza Tanzanite na madini ya vito nchini Qatar
■ Ni utekelezaji wa maagizo ya Mh Rais Samia kurudisha heshima ya Tanzanite ■ Mkutano wa wawekezaji na wafanyabiashara wa madini baina ya Nchi mbili kuandaliwa ■ Wafanyabiashara wa madini ya vito kushiriki maonesho ya bidhaa za madini Qatar mwezi…
Ilala yajivunia mafanikio ya ilani kipindi cha miaka minne ya Rais Samia
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama ch Mapindizi (CCM) , Wilaya ya Ilala, imejivunia mafanikio kwa kipindi cha miaka minne chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Akiongea na waandishi wa habari mkuu wa wilaya Edward Mpogolo ,mara…
RC Chalamila akutana na Gavana wa Jimbo la Maniema – Congo DRC
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 25,2026 amekutana na Gavana wa Jimbo la Maniema-Congo DRC Mhe Mussa Kabwankubi Moise akiwa ameambatana na ujumbe wake alipomtembelea Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao…





