Latest Posts
Ya Wema Sepetu yanaibua maswali
Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ngono ni suala linalozua maswali. Kwanza, nakubaliana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania…
Pogba kurejea Turin?
Klabu ya ‘Kibibi Kizee cha Turin’ Juventus imo kwenye hatua za mwisho kumrudisha kiungo wake wa zamani, Paul Pogba. Mchezaji huyo kwa sasa anacheza katika Klabu ya Manchester United. Mipango ya mabingwa hao wa Italia inaanza Januari mwakani. Pogba amekuwa…
Mo awaumbua watekaji
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini na tajiri kijana barani Afrika, Mohamed Dewji, maarufu kama Mo, limewaumbua watekaji, haijapata kutokea. Wakati wakidhani Mo hakuwa na mlinzi, na baada ya kuvua saa na kuacha simu katika eneo la Colosseum Hotel,…
IGP Sirro usitishe wakosoaji, safisha Polisi
Nimesikiliza kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kuhusu kupatikana kwa Mo Dewji. IGP Sirro amesema pamoja na mengi mengine kwamba wanaotafuta uadui na Jeshi la Polisi wasije wakalaumu litakapowatokea la kutokea. Kwake yeye, kukosoa utendaji wa Jeshi la…
Mauaji yakimbiza ajuza, vikongwe
Baadhi ya watu, wakiwamo ajuza na vikongwe katika vijiji vya Kongolo na Shilingwa, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamekimbia makazi yao wakihofu kuuawa. Miongoni mwa waliokimbia ni Sophia Pondi (54) aliyevamiwa nyumbani kisha wavamizi hao kumpigilia msumari tumboni. Wakazi wa…
IGP Sirro: Kuna urasimu mkubwa umiliki wa silaha
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, ametoa mwito kwa wananchi wenye kustahili kuwa na silaha kuomba wamilikishwe ili wajilinde dhidi ya wahalifu. IGP Sirro alitoa kauli hiyo alipozungumza na waandishi wa habari, ambapo pamoja na mambo…