JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Canada yarasmisha bangi, waishiwa

Wiki iliyopita imekuwa ya kihistoria nchini Canada, kwani serikali ya nchi hiyo baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye imefikia uamuzi wa kuruhusu matumizi binafsi ya bangi kwa watu wake. Maduka yalianza kuuza bangi saa 06:01 usiku wa kuamkia…

Bodi ya wakurugenzi yaisafisha UCC

Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta (UCC), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ikiongozwa na Profesa Makenya Maboko, imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za wafanyakazi zaidi ya 30 wa kituo hicho wanaomtuhumu Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Ellinami Minja…

MAISHA NI MTIHANI (1)

Maisha ndio mtihani mgumu sana, kuushinda mtihani huu ni kufanya maisha yavutie. Ukipata kazi mtihani, usipokuwa na kazi mtihani. Ukiwa na pesa mtihani, usipokuwa na pesa mtihani. Kama umesoma sana mtihani, kama haujasoma mtihani. Inasemwa kuwa: “Ukiona elimu ni gharama…

Falsafa na uhai wa taifa, miaka 19 baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere (2)

Tujifunze kutoka nchini Uingereza.  Nchini Uingereza wananchi wanahimizwa sana kuyasoma maandiko ya mshairi maarufu duniani, William Shakespeare. Waingereza wanafanya hivyo ili kulinda na kudumisha mchango wa mawazo uliotolewa na mshairi huyo katika taifa lake. Wanafanya hivyo pia ili kukirithisha kizazi…

Yah: Busara ni kipawa kwa kijana lakini hutokea kwa nadra

Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka hai hadi leo. Kwangu mimi ni faida kubwa sana kuongeza kila siku moja katika maisha yangu. Nayaona mengi na bado mapya kabisa katika maisha yangu, kiufupi kila uchao unakuchwa na jambo jipya…

Nukuu ya Rais

Sijatamani na sitatamani kuwa rais wa nchi yetu, kwa sababu nafsi yangu haijapata kunisukuma, moyo haujashituka na akili hazijanishawishi kuwania wadhifa huu. Ingawa napenda kufanya kazi, kusoma na kijifunza maarifa mbalimbali na kusikiliza mawazo na falsafa mbalimbali na uadilifu wa…