JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Maarifa ya asili yasaidia uhifadhi wa misitu Loliondo

Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Loliondo Matumizi ya maarifa ya asili katika uhifadhi wa misitu, vyanzo vya maji na mazingira umesaidia jamii ya wafugaji Kata ya Enguserosambu kutoathirika na mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza na waandishi wa habari waliofika katika Kata hiyo, ,kupitia mradi…

Mradi wa kimkakati bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wakamilika

Mradi wa kimkakati wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma umekamilika. Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangasongo amesema mradi huo umetekelezwa na Kampuni ya…

Bil.1.7/- za UVIKO-19 kukamilisha mradi wa jengo la madarasa

Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 zaidi ya bilioni 1.7 imewezesha kukamilishwa kwa Mradi wa jengo la madarasa, maabara na ofisi katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Akitoa taarifa ya utekelezaji…

TALGWU:Tozo za mara mbili kwa mfanyakazi ni mzigo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kimesema kuwa wafayakazi watulie kuhusiana na tozo za miamala ya benki kwani wamefikisha maombi serikalini kufanya mabadiliko ya sheria ya tozo ili kuepuka malipo ya mara mbili kwenye…

Yanga yaichapa 4-0 Zalan FC Ligi Mabingwa Afrika

Timu ya Yanga SC imeanza vyema katika kampeni za kuwania kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa baada ya kuwachapa mabao 4-0 wenyeji Zalan FC kutoka nchini Sudan Kusini mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa…

Simba yang’ara ugenini Ligi Mabingwa Afrika

Simba SC wameng’ara ugenini baada ya kuwachapa wenyeji Big Bullets bao 2-0 mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa kwenye uwanja wa Taifa Bingu, Malawi. Moses Phiri aliiandika bao la kwanza Simba mnamo dakika…