JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo.   Tuzo hiyo imepokelewa na Kamishna Jenerali wa…

Makundi ya Timu 16 Ligi ya Timu za Vijana Zatajwa

DROO ya upangaji wa makundi kwa timu 16 zitakazoshiriki ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U20) ijulikanayo kwa jina la ‘Uhai Cup’ imefanyika jana ndani ya studio za Azam TV.   Ligi hiyo inayoanza rasmi Juni 9,…

Simba Yatanguliza Mguu Mmoja Uingereza

Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4. Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya…

ALIKIBA AJIPAMBANUA KUMFUNGA SAMATTA JUMAMOSI

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ (kushoto) akiwa na mcheza soka aliyeko Afrika Kusini,  Uhuru Selemani, wakiongea na wanahabari leo Uwanja wa Taifa, Dar.   MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba …

Ridhiwani Kikwete Atoa neno Kifo cha Sum wa Ukweli

Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli,na  kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo “Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa…

Lipuli Fc Wamng’ang’ania Kocha wao Amri Saidi

Baada ya kutia kandarasi ya mwaka mmoja na Mbao FC, uongozi wa Lipuli wasema wanatambua kuwa kocha Amri Said ‘Stam’ bado ana mkataba na timu yao. Mwenyekiti wa Lipuli, Ramadhani Mahano, amefunguka na kusema wao wanatambua kuwa Stam ni kocha…