JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mr Nice Karudi tena kwenye game, Sikiliza Ngoma yake Mpya “Wanabaki Hoii”

Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice ameachia video yake mpya ya wimbo, ‘Wanabaki Hooii’ akiwa katika muonekano tofauti kabisa. https://youtu.be/KBuFmDxkzqo  

Azam Fc Wapambana Kumsainisha Donald Ngoma

Uongozi wa Klabu ya Azam FC yenye makazi yake huko Chamazi jijini Dar es salaam, umethibitisha kuwa umeingia makubaliano ya usajili na mshambuliaji Donald Ngoma, kwa ajili ya msimu ujao 2018/2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo mapema…

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TIRA

RAIS John Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA).

Sheria mpya ya kulinda faragha yazinduliwa Ulaya

Sheria mpya ya kulinda faragha ya mtu Ulaya imeanza kutekelezwa leo Ijumaa, ikisimamia zama zinazo kusudia kulinda faragha ya raia na kurekebisha jinsi makampuni yanavyo kusanya, kutumia na kuhifadhi taarifa zao. Sheria hiyo mpya inaanza kutumika wakati ambapo kampuni kubwa…

Watu 50 wafariki Dunia kwenye ajali ya boti DR Congo

Watu 50 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya boti kuzama kwenye mto kaskazini mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa Richard Mboyo Iluka, naibu gavana wa jimbo la Tshuapa, boti hilo lilikuwa limewabeba abiria wengi, wengi wao wafanyabiashara,…