JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Simba 1-0 Wydad Casablanca

Klabu ya Simba imepata ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Bao la kuongoza limefungwa na mshambuliaji Jean Baleke akiwa ndani ya 18 dakika ya 30. Dakika 45 za…

Tanzania kushirikiana na Korea Kusini kujenga shule ya filamu

Na Shamimu Nyaki – WUSM Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa, Aprili 24, mwaka huu, Wizara kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu inatarajia kusaini makubaliano Maalum (MoU) na Wataalam kutoka Korea Kusini kwa ajili…

DC Same aagiza madarasa yaliyoezuliwa paa na upepo yabomolewe

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kupitia wataalam wake kwenda kubomoa kitaalamu majengo ya madarasa matano ya shule ya Msingi Kalemane iliyopo kwenye Kata ya Maore baada ya kuezuliwa na upepo ulioambatana…

Waziri Mhagama ahimiza ubora ujenzi mnara wa mashujaa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama amewataka wataalam kushirikiana na wakandarasi ili kuhakikisha ujenzi wa Mnara wa Mashujaa unakamilika katika viwango vyenye ubora. Mhagama ameyasema hayo wakati wa kikao chake na Wataalam, Wakurugenzi…