Latest Posts
Bodi ya Korosho yatakiwa kulipa 16m/-
Bodi ya Korosho imetakiwa kulipa haraka deni la Sh milioni 16 kwa Kijiji cha Kimanzichana Kaskazini, wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani baada ya kukodi ghala la kijiji hicho kwa ajili ya kuhifadhi pembejeo za korosho. Agizo hilo limetolewa hivi…
Tujiandae kugharamia bajeti yetu kutoka ndani
Wiki iliyopita Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, aliwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kiwango cha ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21. Katika wasilisho lake, Dk. Mpango alieleza kuwa kwa mwaka ujao…
MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (1)
Badili picha mbaya kuwa picha nzuri Kuna wanaoona miiba kwenye ua waridi na kuna wanaoona waridi kwenye miiba. Penye ubaya kuna jambo jema limejificha, penye ugumu kuna furaha imejificha, penye matatizo kuna fursa zimelala. Uwezo wako wa kubadili picha mbaya…
NYUMA YA PAZIA
ALEXANDER GRAHAM BELL Alivumbua simu lakini alikuwa mnyanyasaji mkubwa Karibu katika safu hii mpya inayolenga kuangalia upande wa pili wa maisha ya watu maarufu ambao wamefanya mambo makubwa duniani. Kwa kawaida, watu hao hujulikana zaidi kwa mambo hayo makubwa waliyoyafanya….
Tusipende amani kwa kuisahau haki
Daima amani ni tunda la haki. Penye haki amani hutamalaki. Mwenye haki, kwa maana ya kutenda na kutendewa haki, mara zote huwa mpole na mtulivu. Kwa sababu sioni ni kitu gani kitamfanya akose utulivu kama haki yake haijaguswa. Kwa wakati…
Ubabe haujengi, hauna tija (1)
Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tutapata fursa nyingine ya kuwachagua viongozi wa kuendesha gurudumu letu la maendeleo kwa miaka mitano ijayo. Hapa nchini tunasema demokrasia ya kupokezana vijiti kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu. Mwaka huu tutachagua tena…

