Latest Posts
Moto Waibuka Jengo la Benki Kuu Mwanza
Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 11, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,11, 2018 nimekuekea hapa …
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017/2018
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8,…
ARSENAL, CHELSEA HAKUNA MBABE
Arsenal wameilazimisha sare ya 0-0 Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge Alexis Sanchez akianzia benchi na Wilshere akipata majeraha Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa uamuzi wake kumwanzisha Alexis Sanchez benchi kwenye mechi za Kombe la EFL dhidi ya…
Azam Yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kukutana na URA
Bao pekee la kinda Shabani Idd limeipelekea Azam FC ambao ndiyo mabingwa watetetzi wa kombe la Mapinduzi fainali ya michuano hiyo Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC, huneda wakafanikiwa kulibakisha kombe hilo nchini baada ya leo kufanikiwa kuingia…
WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHANGIA DAMU SALAMA
Nesi kutoka Mpango wa Taifa ya Benki wa damu salama Catherine Kiure akimuhudia moja ya wahamasishaji wa uchangiaji damu Prosper Magali wakati wa uchangiaji damu unaoendelea katika Enep la Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa wamejitokeza kuchangia damu…