JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yataja mambo sita ya kuondoa tatizo la ajira nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Patrobas Katambi, ametaja mambo sita yanayofanywa na serikali ili kuondokana na tatizo la ajira nchini. Katambi ameyasema hayo leo Februari 3, 2023 bungeni alipokuwa akijibu swali…

Chongolo ayataka mabaraza ya madiwani kuacha kulumbana

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameyataka mabaraza ya madiwani nchini kufanya kazi za kujadili maslahi ya wananchi na sio kulumbana kwa maslahi yao binafsi. Chongolo amesema hayo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM katika Kijiji…

NMB yafadhili mafunzo ya bodaboda yatakayofanyika nchini Rwanda

Benki ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na waendesha bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wanaoondoka nchini Jumatatu Februari 6,kwenda Kigali, Rwanda. NMB imekabidhi tiketi 12 za…

DC Haniu aiagiza TUWASA kufanyakazi kwa bidii

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu, amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo kata ya Itagata Barabara ya Katumba -Mwakaleli. Akiwa katika chanzo hicho Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo…

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- (1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA). (2) Amemteua Bw. James Andilile Mwainyekule kuwa…

KMC FC kuwafuata Ruvu Shooting na wachezaji 22

Kikosi cha wachezaji 22,viongozi pamoja na benchi la ufundi kitaondoka jijini Dar es Salaam leo kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa siku ya Jumapili Februali tano…