JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (5)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa kuzungumzia ukadiriaji wa mapato/mauzo/mzunguko, kiwango ambacho hutumika kumkadiria kodi ya mapato mfanyabiashara. Kabla sijaendelea, yametukuta tena. Mtangazaji maarufu nchini, Ephraim Kibonde, amefariki dunia. Kibonde, ndiye alikuwa mwendesha shughuli ya maziko ya Ruge Mutahaba huko…

Kupata hedhi isiyokoma inaashiria tatizo

Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake kutokana na mabadiliko ya homoni, ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho mwanamke anapitia siku kadhaa…

Sao Hill: Mgodi wa miti

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuandika makala hii kuhusu Kiwanda cha Sao Hill cha kuchakata magogo ili kupata mbao na bidhaa nyingine zitokanazo na miti au rasilimali misitu. Kiwanda cha misitu – Sao Hill Industries Ltd – ni miongoni mwa…

Rais Magufuli: Tunawapenda, tuwahitaji wawekezaji na wafanyabiashara

Hotuba ya Rais John Magufuli kwenye hafla aliyoindaa kwa ajili ya mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa kukaribisha mwaka mpya 2019 Ikulu, Dar es salaam; Machi 8, 2019   Mheshimiwa Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na…

Mikasa ya maisha ya Kingunge

Kwa mara ya kwanza, Kavazi la Mwalimu Nyerere limechapisha kitabu kuhusu maisha ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale – Mwiru. Kitabu hicho kimezinduliwa Machi 6, wiki iliyopita, kikiitwa ‘Kutoka Kavazini – Mazungumzo na Kingunge wa Itikadi ya Ujamaa. Kingunge Ngombale…

Ndugu Rais umesema wanao tumekusikia

Ndugu Rais, ukifanya vema lazima tukuambie umefanya vema. Ukiwaapisha makamishna wa Polisi, Ikulu jijini Dar es Salaam, baba ulisikika ukisema, “…Lakini kuna mambo mengine tu ambayo ni ya kawaida ambayo Jeshi letu la Polisi mnatakiwa myaelewe kwamba Watanzania siyo wajinga…