JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 10, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,10, 2018 nimekuekea hapa                                    …

Mzee Jakaya Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama

Jeneza lenye mwili wa marehemu likifikishwa makaburini. RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na wanachama  wa Klabu ya Yanga kuuzika mwili wa aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo…

Waziri Mbarawa Avamia Bandarini Usiku, Abaini Madudu!

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini mawakala wa meli wanaotoa huduma katika bandari hiyo hawafanyi kazi saa 24 kama Serikali ilivyoelekeza.   Prof. Mbarawa ameiagiza Mamlaka…

Meli ya Kubeba mafuta Yateketea kwa Moto Pwani mwa China

Hali mbaya ya hewa inatatiza juhudi za kuzima moto na kufuja kwa mafuta zaidi ya saa sitini. Meli ya mafuta ya Iran inateketea kwa moto baada ya meli mbili kugongana kusini mwa bahari ya China. Meli hiyo kwa jina Sanchi…

Zimbabwe Yachunguza Shahada ya Uzamifu ya Grace Mugabe

Mamlaka ya kukabiliana na ufisadi nchini Zimbabwe imeanzisha uchunguzi kuhusu shahada ya udaktari iliopewa mkewe Robert Mugabe, Grace Mugabe kulingana na ripoti ya AFP. Phyllis Chikundura ,msemaji wa tume ya kukabiiana na ufisadi nchini humo alithibitisha kuwa kulikuwa na uchunguzi…