Latest Posts
Wanajeshi wa Sudan Kusini wafungwa kwa ubakaji na mauaji
Mahakama ya kijeshi imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kutokana na ghasia ambapo mwandishi wa habari aliuawa na wafanyakazi wa kutoa huduma za kibinadamu kubakwa. Mahakama imeiamrisha serikali ya Sudan Kusini kumlipa kila muathiriwa wa…
Mussa Azzan Zungu Achanganyikiwa na Hoja ya Mbunge wa Chadema
Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu amejichanganya wakati wa kutoa majibu ya kura ya uamuzi na kufanya wabunge wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani kulipuka kwa furaha kwa kupiga makofi. Hilo limetokea wakati Bunge lilipokaa kama kamati ya Bunge zima…
Viwanja, mashamba ya Musukuma kupigwa mnada
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi…
Mwongozo wa adhabu kwa wanafunzi
Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Winifrida Rutaindurwa ametoa onyo kwa Walimu wanaowaadhibu wanafunzi bila kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu zinazotoa mwongozo wa aina, kiwango na namna adhabu inavyotakiwa kutolewa kwa wanafunzi. Amesema kuwa kutoa adhabu ya…
Ushuru huu unakwenda wapi?
Wiki iliyopita kama ilivyo ada yake, Mpita Njia (MN) alikuwa miongoni mwa abiria waliotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka au maarufu kama ‘mwendo kasi.’ MN alitumia usafiri huo wa mwendo kasi majira ya saa 12:30 jioni kutoka kituo cha jiji…