Latest Posts
Tanzania bila itikadi inawezekana?
Nimewahi kujenga hoja kuwa Mtanzania anaposhiriki kwenye uchaguzi haongozwi na msimamo wa kiitikadi wa chama chake cha siasa, bali na masuala mengine ambayo hayapewi uzito na wachambuzi. Si vigumu kuamini kama nilivyoamini unaposhuhudia mara kwa mara wanachama kuhama chama kimoja…
Mambo muhimu mkataba wa ajira unapovunjwa
Mkataba wa ajira ni sawa na mikataba mingine. Huingiwa kwa hiari ya wahusika na wahusika hao hao waweza kuondoka katika mkataba huo kwa hiari zao. Tuzungumzie mwajiri kuamua kujitoa katika mkataba wa ajira. Mwajiri anaweza kujitoa katika mkataba wa ajira….
MAISHA NI MTIHANI (17)
Hofu ni mtihani. Kuna aliyesema: “Hofu ina maana mbili: sahau kila kitu na kimbia; maana ya pili, kabili kila kitu uinuke.” Huenda ilipo hofu ndipo palipo mafanikio yako. “Kila kitu unachohitaji kiko upande wa hofu,” alisema Jack Canfield. Mara nyingi…
Demokrasia Tanzania imetundikwa msalabani (1)
Mwaka 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa letu la Tanzania, niliandika makala nyingi sana katika Gazeti hili la Jamhuri. Makala zangu zilikuwa zinakosoa mwenendo wa Chama tawala (CCM). Sihitaji kusimulia kilichonitokea lakini inatosha kudokeza kiduchu: ‘Niliambulia vitisho vya kuondolewa uhai…
Semina elekezi zisipuuzwe
Rais John Magufuli alipoingia madarakani alionyesha wazi kutoshabikia suala la ‘semina elekezi’ kwa wateule wa ngazi mbalimbali. Alipotangaza Baraza la Mawaziri alisema wazi kuwa hana mpango wa kuendelea na semina elekezi, bali lililo muhimu ni kwa wateule kuchapa kazi kwa…
Nafsi inapenda mambo mazuri na matamu
Nafsi ya binadamu inapenda mambo mazuri na matamu inapojionyesha na kujipambanua mbele ya nafsi nyingine za wanadamu, lakini ina mtihani mkubwa wa kutawaliwa na ushetani katika kufanya mambo mabaya na machungu, hivyo kuondoa heshima na thamani ya nafsi. Nafsi hupata…

