Latest Posts
Mapya sakata la korosho
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambaye pia ni mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mikoa ya Lindi na Mtwara, Zuberi Ally Maulid, amefichua kinachoendelea kuhusu wakulima kurudishiwa korosho zinazodaiwa ni mbovu. Kwa mujibu wa kiongozi huyo ambaye amewahi kuwa…
Gari la Polisi ladaiwa kuua bodaboda Segerea
Gari la Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadaiwa kuua dereva wa pikipiki, Cosmas Swai (42), kwa kumkanyaga kichwani akiwa amembeba mkewe, Anna Swai (39) pamoja na mwanawe, David Swai (11). Ajali…
Namna ya kukomesha ubambikaji kesi Polisi
Wiki iliyopita katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa miaka mingi, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa miongoni mwa taasisi za kitaifa zilizothibitisha kuwa chombo hicho kimewahi kuhusika kubambikia baadhi ya wananchi kesi. Baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kudai kuwa Jeshi…
NINA NDOTO (11)
Ukiamua kufanya, fanya kweli Fanya mambo kwa ubora. Chochote unachokifanya hakikisha unakifanya vizuri na kwa ubora wa hali ya juu; kiasi kwamba watu wakikiona wawe tayari kuwaambia wengine kuhusu wewe. Hata mimi nikiona kazi yako unaifanya kwa ubora nitakuwa…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (6)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa aya hii: “Kumbuka kuna biashara zina leseni zaidi ya moja, hivyo kama nilivyosema kabla ya kuanzisha biashara, unapaswa ufanye utafiti kufahamu aina ya biashara unayotaka kuifanya, eneo unalopaswa kufanyia, aina ya wateja, aina za…
Je, furaha ipo katika vitu?
Furaha ni mtihani. Si kila tabasamu ni ishara ya furaha na si kila chozi ni ishara ya huzuni. Si kila kicheko ni ishara ya furaha na si kila kilio ni ishara ya masikitiko. Kwa msingi huo, furaha ni mtihani. Si…



