JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kishindo cha Badru chaanza NCAA

*Akamilisha majengo ya mamilioni yaliyotelekezwa *Askari Uhifadhi waonja neema, posho zapanda *Mamilioni ya Ngorongoro sasa mbioni kulipwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Loliondo Uongozi mpya wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) umeanza kufanya mageuzi makubwa ya utendaji kazi. Miongoni mwa…

Bila uamuzi mgumu Ngorongoro itakufa

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) mwaka 2017 ilifanya Sensa ya Idadi ya Watu na Mifugo kwa watu wanaoishi katika Tarafa ya Ngorongoro. Sensa hiyo ilikuwa maalumu kufanyika katika Tarafa ya…

Kibunda cha bilioni 426.5 kuwanufaisha wanafunzi 135,240 awamu ya kwanza

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeidhinisha Shilingi Billioni 426.5 awamu ya kwanza kwa ajili ya wanafunzi wanufaika 135,240 ili kugharamia masomo yao. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia, Oktoba 24, 2025,…

Kikwete : CCM si chama cha maneno maneno bali ni chama cha vitendo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amesema CCM si chama cha maneno maneno bali ni chama cha vitendo, akisisitiza kuwa chama hicho kitaendelea…

Bei elekezi ya madini ya vito kuchochea ukuaji uchumi – CPA Kasiki

Tume ya Madini kupitia Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini imekutana na wadau wa sekta ya madini wakiwemo wachimbaji, wanunuzi na wathaminishaji wa madini, kwa lengo la kupanga bei elekezi za madini ya vito, hatua inayolenga kuimarisha uwiano wa…