JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 18, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,18, 2018 nimekuekea hapa

WAZIRI NDALICHAKO: WALIOFUKUZWA KWA KUSHINDWA KULIPA MICHANGO WARUDISHWE SHULE

Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amewaagiza Wakurugenzi wa Elimu kuhakikisha kuwa, wanafunzi wote waliofukuzwa shule kutokana na kushindwa kutoa michango mbalimbali warudishwe mara moja na wazazi waliotoa michango yao warudishiwe. Ameyasama hayo leo baada kupokea agizo kutoka kwa Rais…

HUU HAPA MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI JIMBO LA KINONDONI

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa, bado msimamo wake na vyama vingine vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuhusu kutokushiriki uchaguzi wa marudio katika jimbo la Kinondoni na sehemu nyingine na kwamba msimamo wao uko pale…

KATIBU UVCCM IRINGA MJINI ANUSURIKA KUFA BAADA KITU CHENYE MLIPUKA KURUSHWA KITANDANI KWAKE

 Baadhi ya vitu vilivyoteketea kufuatia mlipuko huo.  Hivi ndivyo huo mlipuko ulivyoteketeza vitu hivyo KATIBU wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Alophance Myunga amenusurika kifo baada ya kitu chenye mlipuko kurushwa dirishani kwake na kufikia kitandani…

MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Kufuatia hali hiyo amemtaka Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  afike ofisi ya Waziri Mkuu mjini…

KWAHERI MWAKA 2017 KARIBU MWAKA 2018 – 2

Na Angalieni Mpendu Amani ni neno fupi na jepesi kutamkwa na mtu yeyote – awe mstaarabu au mshenzi. Maana ya neno hili ni ndefu kiwango cha upeo wa macho ya mtu kuona na kutafakari. Na nzito mithili ya nanga au…