JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kenya wametutega nasi tumeingia

Sheria ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ambayo ni sheria ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumeiridhia na imeshaanza kutumika. Maelezo ya wakubwa ni kwamba sheria hii inalenga kupunguza uzito wa shehena inayopakiwa kwenye malori, lengo kuu likiwa…

Narudi nyumbani

Rudi na nyumba ni maneno ya Kiswahili na kila moja lina maana na umuhimu wake katika matumizi. Unapoyatumia maneno haya katika matukio yako ni dhahiri shahiri una nia ya kufanya jambo ambalo kwako na kwa wenzako lina faida. Ni maneno…

Yah: Urasimu ni jambo jema, lakini si urasimu wetu

Kama ilivyo ada, sina budi kuanza na salamu za kiungwana kama Mtanzania mwenye kuheshimu mila na desturi zetu. Sisi Watanzania tulipandiwa mbegu hiyo na hatuna budi kuiheshimu na kuiendeleza, ndiyo maana ni rahisi zaidi kumjua Mtanzania halisi kwa kupitia salamu…

‘Bravo’ Simba SC

Haikuwa rahisi kwa timu ya Simba SC kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Ni safari ya milima na mabonde lakini hatimaye Simba wamevuka na kuingia katika hatua ya robo fainali, na haikuwa safari ya usiku…

Magufuli kutua China

Rais Dk. John Magufuli kwa mara ya kwanza anatarajiwa kuvuka mipaka ya Bara la Afrika, kwa kuitembelea China kwa ziara ya kiserikali, Gazeti la JAMHURI limebaini. China imekuwa mdau muhimu wa maendeleo wa Tanzania, kupitia mkakati mahususi wa Tanzania ya…

Katavi, Tabora vipi?

Mpita Njia ameshitushwa na taarifa za hivi karibuni kwamba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshika nafasi ya tatu barani Afrika katika ndoa na mimba za utotoni. Hizi si tu ni taarifa za kushitua, bali ni taarifa za aibu katika wakati…