Latest Posts
Rais Magufuli na maslahi mapana ya Taifa (1)
Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi Mungu, Tanzania ilikamilisha Uchaguzi Mkuu tarehe 25 Oktoba 2015 kwa kumpata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani. Kwa upande mwingine, uchaguzi huo haukwenda vizuri kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi…
Rais Magufuli aimwagia sifa ‘JAMHURI’
Rais John Pombe Magufuli amelipongeza gazeti la JAMHURI na kulitaja kama gazeti mfano wa kuigwa nchini kutokana na habari zake za uchunguzi uliobobea. Akizungumza na wazee wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Rais Magufuli amelipa gazeti la JAMHURI heshima…
Kesi ya Kova, Nzowa kesho
Kesi inayowahusisha makamishna wawili wa polisi wanaogombea nyumba – Kamishna Suleiman Kova na Kamishna Msaidizi Mwandamizi Godfrey Nzowa inaendelea kesho mahakamani. Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri, alipuuza maagizo ya Rais Dk. John Magufuli na kuzalisha mgogoro wa…
Kesi ya matajiri Moshi hatihati
Wingu zito limegubika hatima ya kesi inayowahusu wafanyabiashara matajiri wanaotuhumiwa kumuua John Massawe, katika Kijiji cha Kindi, Kibosho mkoani Kilimanjaro. Watuhumiwa watatu kati ya watano walikamatwa hivi karibuni mkoani Mwanza na kurejeshwa Moshi, kukamilisha taratibu za kuwafikisha mahakamani. Masawe aliuawa…
Tumejitoa sadaka kwa Watanzania-Magufuli
Hotuba ya Rais John Magufuli kwa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam aliyotoa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam mnamo Februari 13, 2016. Sitajisikia vizuri kama sitasema, shikamoni, Waheshimiwa viongozi wote mliohudhuria hapa na itifaki imezingatiwa…
Kwanini mazungumzo ya amani Syria yameshidikana
H atimaye mazungumzo ya amani kuhusu Syria yaliyokuwa yakifanyika jijini Geneva yamesitishwa bila mafanikio. Msuluhishi kutoka Umoja wa Mataifa (UN), Staffan de Mistura kuanzia Januari 31, mwaka huu alikutana na pande zinazopigana – upande wa serikali ya Rais Bashar Assad…