Latest Posts
Mafuta yanukia Zanzibar
Kazi ya uchambuzi wa taarifa za utafiti wa awali kuhusu rasilimali za mafuta na gesi asilia katika visiwa vya Zanzibar na bahari yake, imeanza huko Edinburg, nchini Uingereza, na inatarajiwa kukamilika baada ya mwezi mmoja. Uchambuzi wa taarifa za utafiti wa…
Tunapoikaribisha laana …
Nachukua fursa hii kutoa pole kwa ndugu zetu waliowapoteza wapendwa wao, Jeshi la Polisi, nchini na Taifa kwa ujumla. Nasikitika kuona nchi yangu Tanzania, nchi iliyosifika kwa kuwa na upendo, amani na utulivu, hivi sasa imeanza kuwa historia kutokana na…
Tuilinde sera yetu
Siku ya Jumamosi iliyopita imekuwa nzuri kwa wafuatiliaji siasa na sera. Rais John Magufuli ametoa mwelekeo wa mabadiliko ya sera kubwa mbili, moja ikiwa ni Sera ya Mambo ya Nje, na ya pili ikiwa ni ya elimu ya juu. Vyuo…
Lazima Chama Kiwasemee Watu
Hotuba iliyotolewa kwenye mkutano wa Uganda People’s Congress, tarehe 7 Juni, 1968 Chama sicho chombo cha Serikali. Serikali ndiyo chombo ambacho Chama hujaribu kutekelezea matakwa ya watu na kuyahudumia masilaha yao.” … Bwana Rais, Mabibi na Mabwana: Serikali ni jambo…
Rais Magufuli umeokoa elimu
Jumamosi Aprili 15, 2017 imekuwa ya burudani kwangu. Nimeburudishwa na hotuba aliyoitoa Rais John Magufuli wakati akizindua mabweni ya wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kwanza ameniburudisha kwa kujenga mabweni yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 kwa gharama…
Hotuba ya Rais Magufuli uzinduzi treni ya umeme
Sehemu ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa reli ya kisasa, Aprili 13, 2017 Pugu jijini Dar es Salaam. Inakadiliwa kuwa wakati wa ujenzi wa reli hii takriban watu 600,000 watapata…