Latest Posts
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
Mauaji ya Barlow wingu zito latanda
*Polisi wasema kijana aliyetaja mtandao ni mgonjwa wa akili
*Yeye asisitiza kuwa kichaa, analazimishwa dawa Muhimbili
*Ndugu waeleza historia, daktari anayemtibu aingia mitini
Jeshi la Polisi nchini limempeleka na kumlaza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kijana Mohamed Malele, mshirika wa mtandao uliohusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakidai ni mgonjwa wa akili.
RPC ‘atumika’ kuchangisha rushwa
* Watendaji wadaiwa kutumia jina lake kula rushwa kwa walima bangi
* RPC Tarime/Rorya awaruka, DC asema dawa yao inachemka
Maofisa watendaji wa Kijiji cha Kwisarara na Kata ya Bumera wanatuhumiwa kutumia jina la Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) wa Kipolisi Tarime/Rorya kuchukua rushwa ya fedha kutoka kwa wakulima wa zao haramu la bangi.
Rage ni tatizo Simba-Kalimauganga
Mwenyekiti wa Friends of Simba, Mkoa wa Tabora, Sadiki Kalimauganga, amesema kuwa kufanya vibaya kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club ya Dar es Salaam, katika Ligi Kuu ya Vodacom iliyomalizika hivi karibuni, kunatokana na uongozi mbovu wa Ismael Aden Rage.
Diwani awaangukia wezi wa sola
Diwani wa kata ya Kisaka wilayani Serengeti, Chacha Togoche, ‘amewangukia’ wezi akiwaomba kutorudia kuiba sola katika zahanati ya kijiji cha Nyiboko.
Wabunge maslahi watalipeleka taifa msituni
Wiki iliyopita nilijizuia kuandika juu ya Bunge na wabunge wetu. Nilijizuia baada ya kusikiliza mjadala uliokuwa unaendelea bungeni, nikawasikiliza wabunge maslahi wanaochangia kwa nguvu hadi wanatokwa na povu midomoni, bila kulieleza Bunge sawa bin sawia kuwa maumivu waliyopata kwa wanahabari yanatokana na maovu yao.
Habari mpya
- Adam Malima Ataka Mkuranga wasirudie Makosa
- ACT-Wazalendo : Tunachunguza uhalali wasimamizi wa uchaguzi waliotangazwa
- NEMC yavunja rekodi utoaji wa elimu sabasaba
- TSB yatangaza fursa mpya za uwekezaji katika kilimo na biashara ya mkonge
- Historia ya maandamano ya Saba Saba Kenya
- Israel yaanzisha mashambulizi maeneo ya Wahouthi huko Yemen
- Israel yafanya mashambulizi ya anga katika bandari Yemen
- Ado Shaibu amvaa wakili Mwambukusi
- TASAC yasisitiza usalama wa usafiri majini kama msingi wa kukuza uchumi
- GCLA yatoa elimu ya usalama wa Kemikali na afya Sabasaba, yakaribisha wanafunzi kujifunza Sayansi
- Tanzania kudumisha uhusiano wa kidugu kati yake na muungano wa visiwa vya Comoro
- Rais Samia ahutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro
- Rais Samia ahudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro
- AZAM FC imemtambulisha Florent Ibenge kuwa Kocha Mkuu
- Wataka mbio za Great Ruaha Marathon ziwe za kimataifa