Latest Posts
Mbatia jasiri wa kuigwa
Wahega walisema kwamba linaweza kutokea usilolitarajia kamwe. Sikutarajia hata siku moja kwamba Mbunge wa kuteuliwa na Rais atajiingiza kwa kishindo katika historia ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutenda kinachofanana na kuuma mkono unaomlisha, nia yake ikiwa kujiepusha na mgongano wa maslahi.
Je, Mkristo akichinja ni haramu?
Chakula cha nyama, ni moja ya hitaji katika mlo. Hutumika kama kitoweo sehemu mbalimbali kuanzia kwenye milo ya nyumbani, sherehe mbalimbali hadi sehemu kunakouzwa vyakula.Hata hivyo,suala linalohusiana na uchinjaji wa wanyama kwa ajili ya chakula, limekuwa likileta matatizo na misuguano isiyo ya lazima katika jamii yetu Watanzania, na hivyo kusababisha kero kwa watu wengine.
Wabunge msiwaangushe wapigakura wenu
Bunge la Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014 linaanza leo mjini Dodoma, huku Watanzania wakitarajia kuona na kusikia wabunge wao wakipitisha bajeti inayojibu matatizo yanayowakabili.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
- Rais Samia kumuasili mtoto aliyetelekezwa kunavyodhihirisha upendo wake kwa jamii
- Papa Leo ahuzunishwa na mauaji ya watoto Iran
- Tanzania, Uganda zaainisha maeneo manne ya ushirikiano wa kimkakati
- Msajili wa Hazina na Arise Investments kuimarisha uwekezaji NMB
- Mradi wa Lupali mbioni kukamilika, kuingiza umeme gridi ya Taifa kilowati 317
Habari mpya
- Rais Samia kumuasili mtoto aliyetelekezwa kunavyodhihirisha upendo wake kwa jamii
- Papa Leo ahuzunishwa na mauaji ya watoto Iran
- Tanzania, Uganda zaainisha maeneo manne ya ushirikiano wa kimkakati
- Msajili wa Hazina na Arise Investments kuimarisha uwekezaji NMB
- Mradi wa Lupali mbioni kukamilika, kuingiza umeme gridi ya Taifa kilowati 317
- Balozi Mbundi akutana na wanachuo NDC asisitiza ushirikiano wa kimataifa
- Serikali yapendekeza kukusanya na kutumia trilioni 62.334/- kwa mwaka wa fedha 2026/27
- Tanzania yashiriki mkutano wa uwezeshaji wanawake
- Takwimu za TPDC zafichua nafasi kubwa ya vijana sekta ya nishati
- Tanzania, Uganda zasisitiza utekelezaji kwa vitendo katika kukuza ushirikiano wa uwili NA
- REA yatoa zaidi ya bilioni 5/- kuzalisha umeme wa maji Lupali
- Dk Maghembe, Luswetula wawasili Afrika Kusini kushiriki Mkutano wa 47 wa SADC
- Dk Samia afanya mazungumzo na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa
- CCM yafanya mazungumzo na mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa Dodoma
- Rais Dkt. Samia aasili mtoto Grace Samia Suluhu