Latest Posts
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Waislamu wenye akili hawa hapa
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa wale tuliotoa wito kwa wapendwa ndugu zetu Waislamu, kuwapuuza kina Sheikh Ponda na mwenzake Kundecha – ambao kila mara wamekuwa vinara wa migogoro na kuibua mambo yasiyo na tija kwa Waislamu na Watanzania.
Agizo alilotoa RC Tabora kwa ‘mchwa’ hawa watalitekeleza?
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa, amezitaka Halmashauri za Wilaya mkoani humo kuhakikisha hazipati hati chafu za ukaguzi wa fedha za serikali, vinginevyo wakurugenzi watendaji na watumishi katika ngazi hizo wasioweza kutekeleza agizo hilo waache kazi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
- Milioni 760 kutengwa kulipa fidia wananchi Lindi
- Tanzania yahimiza ushirikiano wa kimataifa kuongeza uwekezaji wa nishati jadidifu
- NCMC, CRDB kufungua fursa bashara ya Kaboni nchini
- Ndejembi apongeza ujenzi bora wa Kampasi ya UDSM Lindi, Kikwete asisitiza miundombinu
- Shule za bweni Kagera zatakiwa kukamilisha unyunyuziaji dawa kuua wadudu kabla ya Desemba 20
Habari mpya

- Nyongo abeba kero ya kusuasua kwa mradi wa bandari ya Kisiju, ujenzi kuanza 2027
- TANESCO yamzawadia bondia Kalolo Amiri Fedha taslimu , jiko la umeme
- Tanzania, Malawi zajadili uwezekano ujenzi wa bomba la mafuta Songwe hadi Malawi
- Makanisa ya Pentecostal yaanda tamasha la nyimbo za injili kuliombea taifa mkoani Ruvuma
- Tanzania yasisitiza upatikanaji bil. 317/- utekelezaji mradi wa maji ziwa Victoria
- Waziri Sangu atoa onyo kwa waanzishaji vyama vya wafanyakazi kiholela
- Tanzania yasisitiza dhamira yake ya kuendeleza ushirikiano na AFD
- Mruma : Mkakati wa matumizi bora ya nishati unalenga kuimarisha ufanisi wa matumizi ya nishati nchini
- Ujenzi barabara ya Kiyandaigonda – Chombe, yaleta matumaini mapya kwa wananchi Kiyandaigonda
- Serikali yatenga bil. 6.6/- kuimarisha biashara ya kaboni