Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti katika eneo la Mradi wa Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa Funguo Mkurugenzi
DCIM\100MEDIA\DJI_0007.JPG

By Jamhuri