Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi  leo alipofika kujumuika  na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika swala ya Ijumaa. [Picha na Ikulu] 08/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wazee wa Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya  Swala ya Ijumaa leo.[Picha  na Ikulu]  08/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waislamu na Waumini wa Dini ya Kiislamu leo baada ya Ibada ya   Swala ya Ijumaa katika    Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/09/2023.