Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa ZMBF na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023 Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi za Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, (hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation na Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa ZMBF na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, uliyofanyika leo 20-3-2023.(Picha na Ikulu)

By Jamhuri