Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi pamoja na Wafanyakazi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wafanyakazi wa Wizara, Sekta mbalimbali za Umma, Binafsi, viongozi pamoja na Wageni mbalimbali katika maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kitaifa ambazo zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.
Wafanyakazi kutoka Wizara, Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi, wakipita mbele ya Jukwaa Kuu kutoa ujumbe kuhusiana na masuala mbalimbali ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wafanyakazi wakati wakipita mbele ya Jukwaa Kuu katika maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi ambazo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwa kwenye maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.

By Jamhuri