Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Rais William Ruto na kufanya mazungumzo katika ofisi za Karen Jijini Nairobi ambapo Rais Ruto ameahidi kuongeza ushirikiano katika biashara, kilimo, ulinzi na usalama katika utangamano wa Jumuiya Afrika Mashariki leo Septemba 13, 2022