Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Li Zhanshu Beijing nchini China.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Li Zhanshu, Beijing nchini China.

By Jamhuri