Rais Samia azindua mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwa ajili ya mji wa Shelui mkoani Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui katika hafla iliyofanyika kwenye Kijiji cha Kizonzo, Wilaya ya Iramba Mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati akielekea kuzindua mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui katika hafla iliyofanyika kwenye Kijiji cha Kizonzo, Wilaya ya Iramba Mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.
Wananchi wa Kijiji cha Kizonzo wakiwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui tarehe 17 Oktoba,
Tangi kubwa lenye ujazo wa lita 300,000 likiwa limejengwa katika Kijiji cha Kizonzo kama sehemu ya mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui tarehe 17 Oktoba, 2023