Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Tume ya Mipango mara baada ya kuwaapisha Wajumbe wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Mipango mara baada ya kuwaapisha na kuzungumza nao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.