Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.

By Jamhuri