Timu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mikwaju ya penati 4-3 .

Katika mchezo huo ambao Simba alikuwa na faida ya bao moja mbele, waliingia uwanjani na kikosi kilekile kilichoanza mkondo wa kwanza Jijini Dar es Salaam ambacho kiliwasaidia kuondoka na ushindi wa bao 1-0.

By Jamhuri