JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Lugha ni chombo cha mawasiliano

Na Angalieni Mpendu  0717/0787 113542 Lugha ni chombo cha mawasiliano, na kinaunganisha pande mbili katika mambo mbalimbali: kama vile elimu, mahusiano na kadhalika. Lugha pia ni mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambayo hutumika na watu kuanzia familia, taifa…

Rais Mstaafu JK akifinya Ugali msibani

  Pita pita yangu nikajikuta nimetokea kwenye page ya twitter ya Rais wetu Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiandika post na kuweka picha za yeye na wazee wakila ugali kwenye sahani moja na bakuli moja la mboga. Mimi…

MSIBA WA KINGUNGE WAWAKUTANISHA LOWASSA NA KIKWETE

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu wake kabla ya kujiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa wameungana na mamia ya waombolezaji na viongozi wengine wa nchi katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee…