SYRIA WAPUMZIKA KUPIGANA KWA MUDA, KUWAPA KUOKOA ROHO ZA RAIA
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameagiza usitishwaji wa mapigano kwa takriban saa tano katika mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria katika maeneo ya mashariki mwa eneo la Ghouta linalodhibitiwa na waasi. Usitishwaji huo wa mapigano unaanza leo Jumanne na utajumuisha kuundwa kwa kile kinachoitwa ” Njia ya Hisani” kuwawezesha raia kuondoka katika eneo hilo lenye…