JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: UCHAGUZI MDOGO

CHADEMA wayakana matokeo ya Uchaguzi wa Marudio majimbo ya Kinondoni na Siha

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo…

Matokeo ya Uchaguzi Siha Kutoka Vituo Mbalimbali

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo.   Katika matokeo hayo, Dk Mollel  anafuatiwa kwa…

Lala Salama ya Ubunge kwa Chadema, CCM

Na Waandishi Wetu Vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisiasa nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vinaingia wiki ya mwisho kwa kampeni za uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam  na Siha…

NEC: Maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Marudio Yanakwenda Vizuri

Zikiwa zimebaki siku 6 kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge Siha na Kinondoni na kata nane kufanyika, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema maandalizi yanaendelea vizuri. NEC imesema maandalizi hayo ni pamoja na ufumbuzi wa changamoto ndogondogo zinazojitokeza. Mkurugenzi…

CCM, CUF, CHADEMA WASHINDANA KUTOA AHADI KWA WAPIGA KURA WAO

Ni vuta nikuvute. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kinachoendelea katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kinondoni na Siha kwa wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA kuchuana kuwania uwakilishi wa wananchi. Katika mikutano iliyofanyika jana kwenye maeneo tofauti, wagombea hao…