JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: WAKENYA

Wakenya waandamana dhidi ya rushwa Kenya baada ya ufichuzi wa uporaji mkubwa

Raia wa Kenya wanafanya maandamano makubwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kulaani ufisadi wa mabilioni ya dola katika serikali. Mijadala juu ya kashfa za Ufisadi imetawala mitandao mbali mbali ya kijamii kupitia mada: #TakeBackOurCountry, #STOPTheseTHIEVES, #SitasimamaMaovuYakitawala na #NotYetMadaraka. Katika…

Wakenya kukusanya ada ya maegesho Dar

URI limethibitishiwa. KAPS ilizishinda kampuni kadhaa za Kitanzania zilizoshiriki kuwania zabuni hiyo ambayo uamuzi wake ulitangazwa Septemba 13, mwaka huu. Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sipora Liana, tayari ameiandikia KAPS Ltd barua ya kuwataarifu ushindi wao kwenye zabuni…

Tunawatukuza mno Wakenya

Napenda kusoma mawazo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Anayetaka kujua uwezo wetu wa kufikiri, kuchambua na kuainisha mambo, huko ndiko kunakomfaa. Kuna dosari moja nakutana nayo. Mitandao ya kijamii ina mjijadala mingi ya kuitukuza Kenya na Wakenya. Si…

HIVI NDIVYO WAKENYA WALIVYOLIPOKEA KOMBE LA DUNIA

Wakenya wamejitokeza kwa wingi kulitazama na kupiga picha na Kombe la Dunia la Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) ambalo limekuwa nchini humo kwa siku mbili. Kombe hilo linatembezwa mataifa mbalimbali kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza Juni nchini…

RIPOTI YA EU YAWAKERA WAKENYA

Serikali ya Kenya imekasirishwa na ripoti iliotolewa na kiongozi wa Muungano wa Ulaya kuhusu uchaguzi mkuu wa urais mwaka uliopita. Marietje Schaake alitoa ripoti mapema siku ya Jumatano katika mji mkuu wa Ubelgiji , Brussels baada ya kusema kuwa serikali…