Mechi ya Yanga v Ndanda yasogezwa mbele

Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa uchezwe Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Uwanja wa Samora,Iringa. Mchezo huo wa raundi ya 20 ligi kuu soka Tanzania Bara sasa umesogezwa mpaka Jumapili Machi 4, 2018 na utachezwa kwenye Uwanja ule ule wa Samora mkoani Iringa. Bodi imeeleza…

Read More

YANGA KUTUNZA HESHIMA ZA AZAM NA SIMBA KWA URA?

Kocha wa Yanga amesema hawatotumia mchezaji mwingine zaidi ya wale waliokuwa wakiwatumia tangu mwanzoni mwa michuano hiyo YANGA na URA zitashuka dimbani mapema kesho kutafuta timu itakayocheza fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea hapa visiwani Zanizibar Mchezo huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 10:30, na unatarajiwa kuwa na presha kubwa kwa pande…

Read More