Timu ya Taifa ya Zanzibar , Zanzibar heroes imezidi kuonyesha maajabu yake kwenye michuano ya CECAFA, baada ya leo kuwatoa mabingwa watetezi Ugnada kufuatia kipigo cha 2-1 na kutinga hatua ya fainal ambapo watakutana na timu ya Taifa ya Kenya.…
Soma zaidi...