Tanzania kuhakikisha upatikanaji fedha za mabadiliko ya tabianchi
JamhuriComments Off on Tanzania kuhakikisha upatikanaji fedha za mabadiliko ya tabianchi
Mratibu wa Mikutano ya COP Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Evansia Shirima akitoa maneno ya awali wakati wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.Meneja Miradi Tanzania, Shirika la ActionAid Bi. Happay Sanga akizungumza wakati wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Martha Ngalowera, kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akisoma hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.Washiriki mbalimbali wakiwa katika Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.Washriki mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Kikao cha Wataalamu cha Maandalizi ya Mkutano wa 64 wa Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Pre-SB64) wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dodoma leo Mei 22, 2026.