Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imetangaza hadharani washitakiwa wote waliopatikana na hatia katika kesi zinazohusu rushwa.
 Taarifa ya ambayo gazeti hili imeipata inasema kutajwa kwa washitakiwa hao ni utaratibu mpya unaoanza kutumika mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now-BRN).
Ofisa Uhusiano wa Takukuru, Doreen Kapwani, analithibitishia gazeti hili kuwa katika kutangaza washitakiwa hao, wataweka majina, taarifa binafsi na maelezo ya mashitaka kupitia tovuti ya Takukuru – www.pccb.go.tz.
  “Ni kweli taarifa zinazowekwa hadharani ni zile tu za washitakiwa ambao walifunguliwa mashitaka dhidi ya rushwa na kesi zao kutolewa hukumu na Mahakama,” anasema.
  Anasema kwamba utaratibu huo utasaidia katika kuwahabarisha wananchi kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali yao katika kushughulikia walarushwa.
 

Majina ya wala rushwa

1: Lameck Mussa Mboje

Kazi: Askari Mgambo

Mkoa/Wilaya Meatu

Mahakama ya Wilaya ya Meatu

Tarehe ya Hukumu 13.12.2012

Adhabu: Miaka miwili jela.

 

2: Seni Ndamo

Kazi: Afisa Mtendaji Kijiji (VEO)

Mkoa/Wilaya Meatu

Mahakama ya Wilaya ya Meatu

Tarehe ya Hukumu 13.12.2012

Adhabu: Miaka miwili jela.

 

3:Castory Kulwa Kashinje

Kazi: Mhandisi Mkazi

Mkoa/Wilaya Meatu

Mahakama: Meatu District Court

Tarehe ya Hukumu 03.10.2013

Adhabu: Faini Sh 500,000

 

4: Joseph Kulwa Luhende

Kazi: Afisa Mtendaji Kata (WEO)

Mkoa/Wilaya Meatu

Mahakama ya Wilaya ya Meatu

Tarehe ya Hukumu 14.12.2012

Adhabu: Faini ya Sh 1,000,000

 

5: Pius Lushanga

Kazi: Mwalimu

Mkoa/Wilaya Meatu

Mahakama ya Wilaya Meatu

Tarehe ya Hukumu 03.10.2013

Adhabu: Faini Sh 500,000

 

6: Azimio Machibya Matongo 

Kazi: Mtunza fedha Halmashauri ya Wilaya Bukombe

Mkoa/Wilaya Maswa

Mahakama: Wilaya Maswa

Tarehe ya Hukumu 18/10/2013

Adhabu: Faini Shs 14,000,000 

 

7: Charles Derefa Nkinga

Kazi: Katibu Chama Cha Ushirika Budekwa

Mkoa/Wilaya Maswa

Mahakama ya Wilaya  Maswa

Tarehe ya Hukumu 18/06/2013

 Adhabu: miaka miatu jela.

 

8: Revocatus Baya Ntambi

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji wa zamani (Ex – VEO)

Mkoa/Wilaya Maswa

Mahakama ya Wilaya Maswa

Tarehe ya Hukumu 05/04/2013

Adhabu: Faini Sh 300,000.

 

9: Mussa Philip Mahulu

Kazi: Mganga Msaidizi (Assistant Medical Officer)

Mkoa/Wilaya Maswa

Mahakama ya Wilaya Maswa

Tarehe ya Hukumu 29/05/2014

Adhabu: Faini Sh 600,000.

 

10: Elius Mulyambelele

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kata  (WEO)

Mkoa/Wilaya Maswa

Mahakama ya Wilaya Maswa

Tarehe ya Hukumu 31/08/2009

Adhabu: Faini Sh 600,000.

 

11: Miselya Izengo

Kazi: Mwenyekiti wa Kitongoji

Mkoa/Wilaya Maswa

Mahakama ya Wilaya Maswa

Tarehe ya Hukumu 14/12/2009

Adhabu: Faini Sh 1,000,000.

 

12: Patrick Revecatus Chipando

Kazi: Ofisa Msimamizi, Yono Actuion Mart

Mkoa/Wilaya Dar es salaam

Mahakama ya Wilaya Temeke

Tarehe ya Hukumu 15/08/2013

Adhabu: Faini Sh 1,000,000

 

13: Jamila Abdulhamid Nzota

Kazi: Hakimu, Mahakama ya Wilaya Temeke

Mkoa/Wilaya Dar es salaam, Temeke

Mahakama: Hakimu Mkazi Kisutu

Tarehe ya Hukumu 25/05/2009

Adhabu: Miaka mitatu jela.

 

14:  Salum Abdallah Mpini

Kazi: Katibu CCM

Mkoa/Wilaya Dar es salaam, Temeke

Mahakama ya Wilaya Temeke

Tarehe ya Hukumu 18/06/2013

Adhabu: Miaka mitatu jela.

 

15: Majidy Hussein Mfamau

Kazi: Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Mtongani

Mkoa/Wilaya Dar es Salaam, Temeke

Mahakama ya Wilaya ya Temeke

Tarehe ya Hukumu 11/10/2011

Adhabu: Faini Sh 50,000.

 

16: Antony Nauka

Kazi: Katibu Chama cha Mpira wa Miguu

Mkoa/Wilaya Nkasi – Rukwa

Mahakama ya Wilaya Nkasi

Tarehe ya Hukumu 11/07/2014

Adhabu: Kifungo cha nje miezi 12 au faini ya Sh 500,000.

 

17: Oliva Pius Ntine

Kazi: Mwenyekiti Serikali ya Kijiji – Muze

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 14/12/2012

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu gerezani au faini Sh 500,000.

 

18: Wilbroad Rafael Mtembezi

Kazi: Mwenyekiti wa Baraza la Kata

Mkoa/Wilaya Nkasi – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Nkasi

Tarehe ya Hukumu 28/05/2012

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu gerezani au faini ya Sh 500,000.

 

19: Sabas Mafuta

Kazi: Katibu Baraza la Kata – Matanga

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 23/01/2014

Adhabu: Faini Sh 500,000.

 

20: Greenwell Isack Sichimba

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji (VEO) Madibila

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 12/09/2013

Adhabu: Kifungo cha nje miezi 12 au faini Sh 200,000.

 

21: Philipo Gembe

Kazi: Askari Polisi

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 28/05/2012

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya Sh 500,000.

 

22: Salvatory Masuka Songa

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kata (WEO ya Katazi

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 07/05/2012

Adhabu: Faini Sh 200,000.

 

23: Kayusi Herman Luwela

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Katete

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 26/11/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka saba jela.

 

24: Priver Mwasile Mwakumana

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kata (WEO) ya Challa

Mkoa/Wilaya Nkasi – Rukwa

Mahakama ya Wilaya Nkasi

Tarehe ya Hukumu 13/02/2012

Adhabu: Faini Sh 150,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

25: Justini Basilio Shazi

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kata (WEO)

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 25/08/2011

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu gerezani au faini ya Sh 500,000.

 

26: Edward Mboti John

Kazi: Mwandishi wa Habari

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 21/10/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

27: Daudi Simon Mwaikunda

Kazi: Mfanyabiashara

Mkoa/Wilaya Sumbawanga – Rukwa

Mahakama ya Wilaya Sumbawanga

Tarehe ya Hukumu 21/10/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

28: Walid Hussein Mndeme

Kazi: Mratibu

Mkoa/Wilaya Mwanga

Maelezo ya Kosa: 1. Kutumia nyaraka zenye maelezo ya uongo kumdanganya mwajiri

2. Kuisababishia Serikali hasara kinyume cha Sheria na aya ya 10(1) ya jedwali la kwanza na vifungu vya 57(1) na 60(1) vya Sheria ya Uhujumu Uchumi Sura ya 200 Marejeo ya 2002.

Mahakama ya Wilaya ya Mwanga

Tarehe ya Hukumu 3/5/2011

Adhabu: Kutumikia kifungo cha miaka miwili jela.

 

29:Florence I. Meela

Kazi: Katibu Baraza la Ardhi Kata ya Hai

Mkoa/Wilaya Hai

Mahakama ya Wilaya  Hai

Tarehe ya Hukumu 7/6/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka minne jela au faini ya Sh 700,000.

 

30: Christina David Shirima

Kazi: Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Ubetu Kahe

Mkoa/Wilaya Rombo

Mahakama ya Wilaya ya Rombo

Tarehe ya Hukumu 20/4/2014

Adhabu: Kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela.

 

31: Rogasian Kilati

Kazi: Mlinzi na Kaimu Karani wa Mahakama ya Mwanzo Mengwe

Mkoa/Wilaya Rombo

Mahakama ya Wilaya Rombo

Tarehe ya Hukumu 10/9/2012

Adhabu: Adhabu ya nje ya kuhudumia jamii kwa muda wa mwaka mmoja.

 

32: Stella Apolinary Munisi

Kazi: Afisa Misitu Kata ya Kisiwani

Mkoa/Wilaya Same

Mahakama ya Wilaya Same

Tarehe ya Hukumu 3/7/2014

Adhabu: Kutumikia adhabu ya nje kwa sharti la kutotenda kosa.

 

33: Said Abdallah Mshana

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Same

Mahakama ya Wilaya ya Same

Tarehe ya hukumu: 7/5/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh 500,000.

 

34: Msheki Bakari Kibwereza

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Same – Mnadani

Mahakama ya Wilaya ya Same

Tarehe ya hukumu: 7/5/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh 500,000.

 

35: Chediel Msuya

Kazi: Mfamasia Msaidizi (Assistant Pharmacist), Halmashauri ya Wilaya ya Same

Mkoa/Wilaya: Same – Hospital Street

Mahakama ya Wilaya Same

Tarehe ya hukumu: 3/4/2014

Adhabu: Kutumikia kifungo cha miaka saba jela.

 

36: Jane Kiure Nyiru

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji Kisiwani, Same

Mkoa/Wilaya Same

Mahakama ya Wilaya Same        

Tarehe ya hukumu: 29/3/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh 1,000,000.

 

37: Atway Hemed Mkojera

Kazi: Water Technician Same District

Mkoa/Wilaya Same

Maelekezo ya kosa: 1. Kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri

2. Matumizia mabaya ya madaraka

3. Kusabibishia hasara serikali

Kinyume na sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007, vifungu 22, 23, 31.

Mahakama ya Wilaya Same

Tarehe ya hukumu: 26/5/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya Sh 2,000,000.

 

38: Fimbo Fahamuel Mtango

Kazi: Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Same

Mkoa/Wilaya Same

Maelekezo ya kosa: 1. Kutumia nyaraka zenye maelezo ya uwongo kumdanganya mwajiri

2. Matumizi mabaya ya madaraka

3. Kusababishia hasara Serikali

Mahakama ya Wilaya Same

Tarehe ya hukumu: 26/5/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya Sh 2,500,000.

 

39: Shaban Said Mchavango

Kazi: Fundi wa Maji Wilaya ya Same (Water Technician Same District)

Mkoa/Wilaya Same

Maelekezo ya kosa: 1. Kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri

2. Matumizia mabaya ya madaraka

3. Kusabibishia hasara serikali

Mahakama ya Wilaya Same

Tarehe ya hukumu: 26/5/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya Sh 2,000,000.

 

40: Kabora Said Mdee

Kazi: Mwenyekiti wa Kitongoji – Ghona ''A''

Mkoa/Wilaya: Moshi

Mahakama ya Wilaya Moshi

Tarehe ya hukumu: 17/1/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela.

 

41: Leslie Douglas Omary

Kazi: Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Tanzania

Mkoa/Wilaya: Moshi – Lema Street

Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi

Tarehe ya hukumu: 22/2/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

42: John Shikonyi Temu

Kazi: Mwenyekiti wa Kijiji cha Samanga

Mkoa/Wilaya: Moshi

Mahakama ya Wilaya Moshi

Tarehe ya hukumu: 30/03/2011

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela na kulipa fidia ya Sh 22,435,500.

 

43: Denis Justine Swai

Kazi: Mwenyekiti wa Bodi – Shule ya Sekondari Matoro

Mkoa/Wilaya: Moshi

Mahakama ya Wilaya Moshi

Tarehe ya hukumu: 20/12/2010

Adhabu: Kifungo cha miaka saba jela.

 

44: Selina Minja

Kazi: Mganga Mkuu Zahanati ya Marangu.

Mkoa/Wilaya: Moshi

Mahakama ya Wilaya Moshi

Tarehe ya hukumu: 30/03/2011

Adhabu: 1. Kifungo cha miaka miwili jela

2. Kulipa fidia Sh 22,435,500.

 

45: Brayson Terry

Kazi: Dereva

Mkoa/wilaya: Dar es salaam

Mahakama ya Wilaya Moshi

Tarehe ya hukumu: 7/5/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka sita jela.

 

46: Bakary Ally Juma

Kazi: Wakala wa Yono Auction Mart

Mkoa/Wilaya: Dar es Salaam – Tabata Mawenzi

Mahakama ya Wilaya Moshi

 

47: Mussa Bakari Dion

Kazi: Fundi Umeme

Mkoa/Wilaya: Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu 22/11/2013

Adhabu: Faini Sh 100,000 kwa makosa yote mawili au jela miaka miwili kwa makosa yote mawili.

 

48: Mgeni Salum Mkwama

Kazi: Mfanyakazi Majembe Auction Mart

Mkoa/Wilaya: Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 15/07/2013

Adhabu: Faini Sh 250,000 kwa kila kosa au kifungo cha miaka mitatu kwa kila kosa (vifungo vya jela kwenda pamoja).

 

49: Julius Tibagila Mugisha

Kazi: Fundi Umeme-TANESCO

Mkoa/Wilaya Dar es salaam-Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 05/08/2013

Adhabu: Faini Sh 500,000 kwa kila kosa au kifungo cha mwaka mmoja kwa kila kosa.

 

50: Ally Vuzo

Kazi: Kibarua-TANESCO

Mkoa/Wilaya Dar es salaam-Kinondoni

Mahakama: Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 07/03/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu na nusu jela kwa makosa yote mawili.

 

51: Mohamed Ally

Kazi: Dereva –  Majembe Auction Mart

Mkoa/Wilaya Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 20/10/2010

Adhabu: Kifungo cha nje miezi kumi na mbili.

 

52: Lazaro Isaya Mwakipesile

Kazi: Fundi Ujenzi

Mkoa/Wilaya Dar es Salaam-Kinondoni

Kosa: Kujifanya Afisa wa TAKUKURU na kughushi

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 20/11/2014

Adhabu: Kifungo cha miezi 6 au faini Sh 2,000,000 kwa kosa la kwanza, kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la pili.

 

53: Rajab Msham Hai

Kazi: Mjumbe wa kamati serikali ya mtaa kunduchi

Mkoa/Wilaya: Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 29/09/2014

Adhabu: Kifungo cha nje miezi 12.

 

54: Julius William Kimaro

Kazi: Afisa Utumishi Halmashauri ya Wilaya Mafia

Mkoa/Wilaya Pwani- Mafia

Maelezo ya Kosa: Kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri

Mahakama ya Wilaya Mafia

Tarehe ya Hukumu: 09/10/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini Sh 3,000,000.

 

55: Jumanne Mandolya

Kazi: Mwenyekiti wa Kitongoji cha Poroti

Mkoa/Wilaya Pwani- Rufiji

Mahakama ya Wilaya Rufiji-Kibiti

Tarehe ya Hukumu: 29/08/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini Sh 1,000,000.

 

56: Nassoro Abraham

Kazi: Imam

Mkoa/Wilaya Dar es salaam – Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 17/06/2014

Adhabu: Kifungo cha miezi sita jela.

 

57: Hassan Mohamed

Kazi: Mfanyabiashara

Mkoa/Wilaya Dar es Salaam – Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 17/06/2014

Adhabu: Kifungo cha nje miezi sita.

 

58: Athumani Hamisi Nyarukamo

Kazi: Mlinzi – DAWASCO

Mkoa/Wilaya Dar es Salaam – Kinondoni

Mahakama ya Wilaya Kinondoni

Tarehe ya Hukumu: 24/02/2014

Adhabu: Faini ya Sh 200,000 kwa makosa yote mawili au kifungo cha miaka mitatu kwa makosa yote mawili.

 

59: Matrida Sanga

Kazi: Wakala wa Pembejeo

Mkoa/Wilaya Mbeya – Rungwe

Maelezo ya Kosa: Kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri, kugushi kutumia mamlaka vibaya

Mahakama ya Wilaya Rungwe

Tarehe ya Hukumu: 20/12/2013

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini Sh 100,000.

 

60: Pirry Waziri Soloka

Kazi: Mhandisi Msaidizi, Saruji Tanga

Mkoa/Wilaya Tanga – Muheza

Mahakama ya Wilaya Muheza

Tarehe ya Hukumu: 19/07/2010

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

61: Ramadhani Gangale

Kazi: Mwenyekiti wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Pwani- Bagamoyo

Mahakama ya Wilaya Bagamoyo

Tarehe ya Hukumu: 14/07/2014

Adhabu: Kifungo miaka mitatu jela.

 

62: Stanley Richard Muhuza

Kazi: Muhudumu Mahakama ya Mwanzo Dochi

Mkoa/Wilaya Tanga – Lushoto

Mahakama ya Wilaya Lushoto

Tarehe ya Hukumu: 24/01/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

63: Aweso Idd Mwewale

Kazi: Katibu wa Baraza la Ardhi Kimwaga

Mkoa/Wilaya Pwani- Bagamoyo

Mahakama ya Wilaya Bagamoyo

Tarehe ya Hukumu: 16/09/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela

 

64: Jana Bukuku

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Mbeya – Tukuyu

Maelezo ya Kosa: Kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri na kughushi kutumia mamlaka vibaya

Mahakama ya Wilaya Rungwe

Tarehe ya Hukumu 20/12/2013

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini Sh 100,000.

 

65: Elizabeth Nyelwisye

Kazi: Mkurugenzi wa Kituo cha Lutengano Moravian

Mkoa/Wilaya Mbeya – Rungwe

Maelezo ya Kosa: Kutumia nyaraka kwa lengo la kumndanganya mwajiri, ubadhirifu na ufujaji

Mahakama ya Wilaya Rungwe

Tarehe ya Hukumu:  20/12/2013

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini Sh 2,800,000.

 

66: Joel Mwakyusa

Kazi: Mwenyekiti wa kamati ya Pembejeo

Mkoa/Wilaya Mbeya – Rungwe

Maelezo ya Kosa: Kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri, kugushi na kutumia madaraka vibaya

Mahakama ya Wilaya Rungwe

Tarehe ya Hukumu  20/12/2013

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini Sh 100,000

 

67: Alex Kibinga Mbaganile

Kazi: Mwenyekiti wa Kamati ya Vocha ya Kijiji

Mkoa/Wilaya Mbeya – Kyela 

Maelezo ya Kosa: Kutumia madaraka vibaya na kujinufaisha, kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri na kula njama.

Mahakama ya Wilaya Kyela

Tarehe ya Hukumu: 04/04/2012

Adhabu: Faini ya Sh 200,000

 

68: Emmanuel Kapangala

Kazi: Mwenyekiti wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Mbeya – Rungwe

Maelezo ya Kosa: Kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri, kugushi kutumia mamlaka vibaya

Mahakama ya Wilaya Rungwe

Tarehe ya Hukumu: 20/12/2013

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini Sh 100,000.

 

69: Hussein Fadhili

Kazi: Mfamasia Halmashauri ya Mbarari

Mkoa/Wilaya Mbeya – Mbarali

Mahakama ya Wilaya Mbarali

Tarehe ya Hukumu  23/09/2013

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini Sh 100,000

 

70: Martin Mathew

Kazi: Afisa Afya wa Kata

Mkoa/Wilaya Mbeya

Maelezo ya Kosa  Kutumia mamlaka vibaya na kujinufaisha na ubadhirifu na ufujaji

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya

Tarehe ya Hukumu: 23/10/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh 11,000,000.

 

71: James Msumba Mpalazi

Kazi: Katibu wa Baraza la Kata

Mkoa/Wilaya Mbeya 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya

Tarehe ya Hukumu 16/09/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 200,000.

 

72: Martin Angerus Chilewa

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Mbeya – Kyela

Mahakama ya Wilaya Kyela

Tarehe ya Hukumu 24/01/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 1,500,000.

 

73: Majuto Simon Shombe

Kazi: Askari Mgambo

Mkoa/Wilaya Mbeya 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya

Tarehe ya Hukumu  12/06/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 700,000.

 

74: Hamis Babu Bali

Kazi: Hakimu wa zamani Mahakama ya Mwanzo

Mkoa/Wilaya Pwani – kibaha

Mahakama ya Wilaya Kibaha

Tarehe ya Hukumu: 30/03/2010

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini.

 

75: Abdala Ngalola

Kazi: Mwenyekiti wa zamani Baraza la Ardhi la Kata ya Kongowe

Mkoa/Wilaya Pwani – Kibaha

Mahakama ya Wilaya ya Kibaha

Tarehe ya Hukumu: 01/04/2010

Adhabu: Kifungo cha nje mwaka mmoja.

 

76: Emmanuel Romano Mchegesi

Kazi: Askari Mgambo – Mlandizi

Mkoa/Wilaya Pwani

Mahakama ya Wilaya Kibaha

Tarehe ya Hukumu: Januari 2009

 Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

77: Mbwambo William Mbwambo

Kazi: Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Ardhi

Mkoa/Wilaya Pwani- Mkuranga

Mahakama ya Wilaya Mkuranga

Tarehe ya Hukumu: 25/01/2011

Adhabu: Kifungo cha miaka sita jela.

 

78: Amiri Ramadhani Pazi

Kazi: Alikuwa katibu wa CCM kata ya Ruvu

Mkoa/Wilaya Pwani

Mahakama ya Wilaya Kibaha

Tarehe ya Hukumu: Julai 2008

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

79: Stephen Mwelondo

Kazi: Afisa Majembe Auction Mart

Mkoa/Wilaya Pwani – Chalinze

Mahakama ya Lugoba

Tarehe ya Hukumu: 11/04/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela. 

 

80: Mwita Wambura

Kazi: Mkusanya kodi wa kampuni ya Perian Hut

Mkoa/Wilaya Pwani – Bagamoyo

Mahakama ya Wilaya Chalinze

Tarehe ya Hukumu  09/07/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

81: Juma Omary Mkumbi

Kazi: Mlinzi kampuni ya Perian Hut

Mkoa/Wilaya Pwani – Chalinze

Mahakama ya Wilaya Kibaha

Tarehe ya Hukumu  09/07/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

82: Hashimu Ibrahim Cheche

Kazi: Mwenyekiti kitongoji cha Kitame

Mkoa/Wilaya Pwani

Mahakama ya Wilaya Bagamoyo

Tarehe ya Hukumu: 01/08/2011

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh 1,000,000.

 

83: Badi Mohamed Yusuf

Kazi: Mjumbe wa zamani wa Baraza la Ardhi kata ya Mkuza

Mkoa/Wilaya Pwani – kibaha

Mahakama ya Wilaya Kibaha

Tarehe ya Hukumu: 30/06/2011

Adhabu: Faini Sh 400,000.

 

84: Felix Joshua

Kazi: Afisa Wilaya ya Bunda

Wilaya: Bunda

Mkoa: Mara

Mahakama ya Wilaya Bunda

Tarehe ya hukumu: 27/07/2012

Adhabu: Faini ya Sh 500,000 au kifungo cha miaka miwili jela.

 

85: Timoth William Mdehere

Kazi: Katibu Baraza la Ardhi Kata ya Magomeni

Mkoa/Wilaya Pwani – Bagamoyo

 Mahakama ya Wilaya Bagamoyo

 Tarehe ya Hukumu: 31/12/2014

Adhabu: Faini Sh 500,000.

 

86: Ramadhani Masesa

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kitongoji wa zamani

Mkoa/Wilaya Pwani – Mkururanga

Mahakama ya Wilaya Mkuranga

Tarehe ya Hukumu: 21/09/2011

Adhabu: Kifungo cha miaka sita jela.

 

87: Athumani M. Matimbwa

Kazi: Mlinzi wa TRL – Ruvu Station

Mkoa/Wilaya Pwani – Kibaha

Mahakama ya Wilaya Kibaha

Tarehe ya Hukumu 13/10/2010

Adhabu: Faini Sh 300,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

88: Tito Ernest Malya

Kazi: Dereva/Fundi Magari

Mkoa/Wilaya Pwani – Chalinze

Mahakama ya Wilaya Bagamoyo

Tarehe ya Hukumu: 9/7/2010

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au faini Sh 800,000.

 

89: Morland Maijo Nyamusi

Kazi: Katibu wa Baraza la Kata ya Nyakatende

Mkoa/Wilaya Mara/Butiama

Mahakama ya Wilaya Musoma

Tarehe ya Hukumu: 24.10.2012

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

90: Juma Sangari Chacha

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Mara/Serengeti

Mahakama ya Wilaya Serengeti

Tarehe ya Hukumu: 30/09/2009

Adhabu: Faini Sh 500,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

91: Ferdinand Manase

Kazi: Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Bunda

Mkoa/Wilaya Mara/Bunda

Mahakama ya Wilaya ya Bunda

Tarehe ya Hukumu: 24/10/2011

Adhabu: Faini Sh 250,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

92: Datius Rweyumbiza Deogratius

Kazi: Mhudumu Hotel ya Golden Rose

Mkoa/Wilaya Arusha

Mahakama ya Wilaya Arusha

Tarehe ya Hukumu: 28/12/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela.

 

93: Masisi Mwita Kitang'ita

Kazi: Katibu wa baraza la kata ya Ring'wani

Mkoa/Wilaya Mara/Serengeti

Mahakama ya Wilaya Serengeti

Tarehe ya Hukumu: 30/09/2009

Adhabu: Faini Sh 500,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

94: Vulma Whero

Kazi: Diwani kata ya kingerekiti

Mkoa/Wilaya Ruvuma – Mbinga

Mahakama ya Wilaya Mbinga

Tarehe ya Hukumu: 16/12/2010

Adhabu: Faini Sh 500,000.

 

95: Beanjamin Paul

Kazi: Askari Mgambo

Mkoa/Wilaya Kigoma

Mahakama ya Wilaya Kigoma  

Adhabu: kifungo miaka mitano jela.

 

96: Charles Mwita Peter Nyakehe

Kazi: Katibu wa Baraza la Kata ya Machochwe

Mkoa/Wilaya Mara/Serengeti

Mahakama ya Wilaya ya Serengeti

Tarehe ya Hukumu: 26.11.2009

Adhabu: Faini Sh 500,000 au kifungo cha mwaka mmoja jela.

 

97: Ibrahim Nyambacha

Kazi: Mfanyabiashara

Mkoa/Wilaya Kigoma

Mahakama ya Wilaya Kigoma  

Adhabu: Kifungo cha Miezi 12 jela au kulipa faini Sh 300,000.

 

98: Monica Juma Bugingo

Kazi: Mjumbe wa Baraza la Kata ya Nyakatende

Mkoa/Wilaya Mara/Butiama

Mahakama ya Wilaya ya Musoma

Tarehe ya Hukumu  24/10/2012

Adhabu: Faini Sh 600,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

99: Josephine Nyambane Bhoke

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Mara/Tarime

Mahakama ya Wilaya ya Tarime

Tarehe ya Hukumu 05/09/2014

Adhabu: Faini Sh 550,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

100: Revocatus Ruhemeja

Kazi: Afisa Mtendaji  Kijiji cha Balili – Bunda

Mkoa/Wilaya Mara/Bunda

Mahakama ya Wilaya Bunda

Tarehe ya Hukumu: 16/04/2013

Adhabu: Faini Sh 500,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

101: Bernadetha Almasi Ndamenya

Kazi: Mwalimu wa Shule ya Sekondari Ufundi Musoma

Mkoa/Wilaya Mara/Musoma

Mahakama ya Wilaya ya Musoma

Tarehe ya Hukumu: 30/04/2014

Adhabu: Kifungo cha nje.

 

102: Mark Wang Wei

Kazi: Mkurugenzi – PANDA INTERNATIONAL CO. LTD

Mkoa/Wilaya Mara/Bunda

Uraia Mchina

Mahakama ya Wilaya ya Bunda

Tarehe ya Hukumu 17/01/2013

Adhabu: Faini Sh 700,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

103: Wakuru Matiku Paul

Kazi: Mwanafunzi Shule ya Sekondari Buhare

Mkoa/Wilaya Mara/Musoma

Mahakama ya Wilaya ya Musoma

Tarehe ya Hukumu 21/10/2010

Adhabu: Kifungo miaka saba jela.

 

104: Grevas Mulisa Kashebo

Kazi: Meneja SIDO Iringa

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 15/05/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 1,000,000.

 

105: Barigore Mahemba

Kazi: Katibu wa Baraza la Ardhi Kijiji cha Ring'wani

Mkoa/Wilaya Mara/Serengeti

Mahakama ya Wilaya ya Serengeti

Tarehe ya Hukumu 15.04.2014

Adhabu: Faini Sh 50,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

106: Juma Orenda

Kazi: Mtunza Stoo Shule ya Sekondari ya Ufundi Musoma.

 Mkoa/Wilaya Mara/Musoma

Mahakama ya Mkoa wa Mara

Tarehe ya Hukumu 12/03/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela.

 

107: Philemoni Mashaka

Kazi: Muhasibu Shule ya Sekondari ya Ufundi Musoma.

Mkoa/Wilaya Mara/Musoma

Mahakama ya Mkoa wa Mara

Tarehe ya Hukumu 12/03/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela.

 

108: Wegesa Ikwabe

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Mara/Tarime

Mahakama ya Wilaya ya Tarime

Tarehe ya Hukumu 05.09.2014

Adhabu: Faini Sh 550,000 au kifungo cha miaka mitatu jela.

 

109: William Mkwanga Ndandago

Kazi: Mwenyekiti wa kijiji cha Mtua Ilula

Mkoa/Wilaya Kilolo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu: 19/09/2013

Adhabu: Aliachiwa kwa Masharti.

 

110: Ajuaye Enock Kilave

Kazi: Mgambo wa kijiji cha Idete Kilolo

Mkoa/Wilaya Kilolo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 01/11/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au faini Sh 1,000,000.

 

111: Abdukadi Salumu Mnyavanu

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Tungamalenga

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Wilaya Iringa

Tarehe ya Hukumu 11/06/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au faini Sh 1,000,000.

 

112: Elijius Sugaluhanga Mwakikoti

Kazi: Afisa mtendaji wa kijiji cha Idete Kilolo

Mkoa/Wilaya Kilolo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 01/11/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini Sh 1,000,000.

 

113: Asifiwe Samweli Kingililwe

Kazi: Meneja wa kituo cha mikutano cha

Lutheran Makambako

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 15/05/2013

 Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au

 kulipa faini Sh 250,000.

 

114: Salum Ramadhani Msakwa

Kazi: Mkulima na askari wa wanyama pori Mbomipa

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 04/12/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini Sh 1,000,000.

 

115: Boni Elias Balaga

Kazi: Mkulima na mwenyekiti wa kitongoji

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 04/12/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini Sh 1,000,000.

 

116: Rashid George Petwa

Kazi: Mkulima na mkazi wa Mbolimboli Pawaga

Mkoa/Wilaya Kilolo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 28/10/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh 300,000.

 

117: Aldo Yotham Kaduma

Kazi: Mfanyabiashara wa nafaka soko kuu Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 28/11/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 400,000.

 

118: Paul Lawrence Tabani

Kazi: Mwalimu na mmiliki wa kituo cha elimu TETCO

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 28/10/2013

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

119: Yusta Edward Sailale

Kazi: Mhasibu Manispaa ya Iringa

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 25/09/2009

Adhabu Kifungo cha mwaka mmoja jela.

 

120: Aigon Jeremeiah Kisoma

Kazi: Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Malangali

Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa

Mkoa/Wilaya Mufindi

Mahakama ya Wilaya Mufindi

Tarehe ya Hukumu 12/03/2010

Adhabu: Kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini Sh 700,000.

121: James Augustino Kilamsa

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kata ya Kiyowela Mufindi

Mkoa/Wilaya Mufindi

Mahakama ya Wilaya Mufindi

Tarehe ya Hukumu 30/06/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh 1,600,000.

 

122: Afadhali Denis Russa

Kazi: Mkufunzi Chuo Cha Afya Muhimbili

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 26/06/2014

Adhabu: kaachiwa kwa masharti.

 

123: Venance Modesto Lyego

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Itatula Kilolo

Mkoa/Wilaya Ilula

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 04/06/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

124: Selestino Ng'ong'onale

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Njombe

Mahakama ya Wilaya Njombe

Tarehe ya Hukumu 26/01/2010

Adhabu: Kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini Sh 100,000.

 

125: Tumaini Mfugale

Kazi: Mwalimu Shule ya Msingi Njombe

Mkoa/Wilaya Njombe

Mahakama ya Wilaya ya Njombe

Tarehe ya Hukumu 29/06/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

126: Marry Hamis Masumbuko

Kazi: Mwalimu Shule ya Msingi Changarawe Mafinga

Mkoa/Wilaya Mufindi

Mahakama ya Wilaya ya Mufindi

Tarehe ya Hukumu 05/10/2009

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh 600,000.

 

127: Chesco Simon Kilongamtwa

Kazi: Mwenyekiti wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Wilaya ya Mufindi

Tarehe ya Hukumu 28/03/2008

Adhabu: Kifungo cha miaka mitatu jela.

 

128: Rehani Shamte Rehani

Kazi: Mhasibu katika Manispaa ya Iringa

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 25/09/2009

Adhabu: Kifungo cha mwaka mmoja jela.

 

129: Hanzirun Ramadhan

Kazi: Askari Mgambo

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama  

Tarehe ya Hukumu 10/07/2008

Adhabu: Faini Sh 100,000.

 

130: Steven B. Mabala

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 11/09/2009

Adhabu: Faini Sh 100,000.

 

131: Ramadhani Maulidi Mkangala

Kazi: Mkufunzi Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 09/10/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

132: Godwin Halvin Mlay

Kazi: Afisa Manunuzi Chuo Kikuu cha Elimu Mkwawa

Mkoa/Wilaya Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa

Tarehe ya Hukumu 09/10/2014

Adhabu: Kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

133: Beatus Benjamen Mwani

Kazi:  Mgambo wa kijiji

Mkoa/Wilaya Njombe

Mahakama ya Wilaya Njombe  

Adhabu: Kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini Sh 500,000.

 

134: Saakumi Zakayo

Kazi: Mwalimu

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 20/04/2009

Adhabu: Faini ya Sh 100,000.

 

135: Shija Mkono

Kazi: Kaimu Afisa Mtendaji wa Kata

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 13/07/2009

Adhabu: Faini ya Sh 150,000.

 

136: Gwambasa Joram Hoseah

Kazi: Diwani – Kata ya Nyihogo

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 08/09/2008

Adhabu: Miaka mitano jela au faini Sh 150,000.

 

137: Jisandu Selengeta

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 13/07/2009

Adhabu: Faini Sh 150,000.

 

138: Simon Mabumba

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 10/07/2008

Adhabu: Faini Sh 50,000.

 

139: Pius Makoye Nkula

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 27/10/2011

Adhabu: Jela miaka miwili au faini Sh 350,000.  Pia mshtakiwa pamoja na wenzake katika kesi hii waliamriwa kurejesha Sh 13,410,000 kwa Ndemela Shabani.

 

140: Nayala M. Nkula

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 27/10/2011

Adhabu: Jela miaka miwili au faini Sh 350,000. Pia mshtakiwa pamoja na wenzake katika kesi hii waliamriwa kurejesha Sh 13,410,000 kwa Ndelema Shabani.

 

141: Maziku Nyangu Masewa

Kazi: Afisa Mtendaji wa Kijiji

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 30/09/2009

Adhabu: Jela miaka mitano au faini Sh 500,000.

 

142: Emmanuel Sosoma Zengo

Kazi: Katibu Baraza Ardhi Kata

Mkoa/Wilaya Kahama

Mahakama ya Wilaya Kahama

Tarehe ya Hukumu 27/10/2011

Adhabu: Jela miezi 12 au faini Sh 200,000. Pia mshtakiwa pamoja na wenzake katika kesi hii waliamriwa kurejesha Sh 13,410,000 kwa Ndemela Shabani.

 

143: Amos Mpondyo

Kazi: Mkulima

Mkoa/Wilaya Kahama

4653 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!