Waziri Biteko atembelea kiwanda kinachozalisha mkaa mbadala

Waziri wa Madini Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi kutoka shirika la Madini la Taifa STAMICO Pili Athumani alipotembelea kiwanda chakuzalisha mkaa mbadala kinachomilikiwa na Shirika hilo kilichopo jijini Dae es Salaam.
Waziri wa Madini Doto Biteko akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Dkt. Venance Mwasse (kulia), wakati wa ziara ya waziri kutembelea kiwanda chakuzalisha mkaa mbadala kinachomilikiwa na Shirika hilo kilichopo jijini Dae es Salaam
Waziri wa Madini Doto Biteko akizungumza na wanahabari wakati alipotembelea kiwanda cha kuzalisha mkaa mbadalakinachimilikiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kilichopo nsasani Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),  Dkt. Venance Mwasse akizungumza na wanahari wakati  wa ziara ya waziri wa Madini alipofanya ziara ya kikazi kutembelea kiwanda kiwanda chakuzalisha mkaa mbadala kinachomilikiwa na Shirika hilo kilichopo jijini Dae es Salaam.