Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 9, 2023
Kitaifa
Ziara ya kitaifa ya Rais Samia katika mji wa New Delhi nchini India
Jamhuri
Comments Off
on Ziara ya kitaifa ya Rais Samia katika mji wa New Delhi nchini India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi chini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu pamoja na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu pamoja na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye mapokezi yake katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Post Views:
394
Previous Post
Waratibu 85 Mtwara, Lindi wawezeshwa mafunzo mwongozo kukabiliana na ukatili
Next Post
Rais Samia alivyoagana na Rais wa India baada ya kumaliza ziara
Sisiwaya awaonya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani nchini
Serikali yaibariki timu ya Taifa kuogelea kuelekea mashindano ya dunia
Tamasha la Utalii siku tatuA (Mafia Idland Festival) lafunguliwa leo
Spika mstaafu ashangaa wasichana kuwaacha wavulana kitaaluma
Furahika chaanzisha kozi ya kufundisha wasichana ukondakta kwenye mabasi
Habari mpya
Sisiwaya awaonya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani nchini
Serikali yaibariki timu ya Taifa kuogelea kuelekea mashindano ya dunia
Tamasha la Utalii siku tatuA (Mafia Idland Festival) lafunguliwa leo
Spika mstaafu ashangaa wasichana kuwaacha wavulana kitaaluma
Furahika chaanzisha kozi ya kufundisha wasichana ukondakta kwenye mabasi
Serikali bega kwa bega na wafanyabiashara kutatua changamoto zao
Majiko ya gesi 19,530 kusambazwa kwa bei ya ruzuku Kilimanjaro
HOMSO yakabidhi mashine za kusaidia kupumua watoto wachanga zenye thamani ya milioni 10.5
Serikali kuzindua rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Desemba 11, 2024
Rostam Aziz: Sijatoka mbinguni, tunalo jukumu la kuwasaidia Watanzania kujifunza ujuzi wa biashara
Korea Kusini: Maafisa wakuu wa kijeshi wapigwa marufuku kuondoka nchini
Wakandarasi wazembe, wanaochelewesha miradi wabanwe -RC Kunenge
Muleba mwenyeji Tamasha la Boxing Desemba 26
Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa
Wakazi 359, 577 Kaliua wapata maji safi na salama