Mwenyekiti CWT adanganya

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Clement Mswanyama, amewadanganya walimu na Watanzania kwa ujumla juu ya umiliki wa mali za walimu, JAMHURI linathibitisha. Hivi karibuni, Mswanyama ameitisha mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma na bila aibu akawaambia uongo kuwa Chama cha Walimu Tanzania kinamiliki hisa 99 za Kampuni ya…

Read More

Posta na fikra za analojia!

Mabadiliko ya ulimwengu wa leo yamemfanya Mpita Njia (MN) naye aishi kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Ni kwa sababu hiyo, naye amejikuta analazimika kujua namna ya kuingia kwenye mitando na ‘kuchati’ japo kasi yake si kama ya wenye ulimwengu wa sasa, yaani vijana. Mpita Njia ingawa ana umri mkubwa, amejitahidi kuwa memba kwenye…

Read More

Mapya vitambulisho vya ujasiriamali Kwimba

Vitambulisho vya Rais John Magufuli vya wajasiriamali vimezua sokomoko baada ya kaya maskini zilizomo kwenye mpango wa kusaidiwa fedha kutoka katika Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAF) kuamriwa kulipia vitambulisho hivyo. Hali hiyo imetokea wilayani Kwimba, Mkoa wa Mwanza, ambako habari zinadai watu hao maskini wanatishiwa kushtakiwa iwapo hawatalipa fedha na kupewa vitambulisho hivyo…

Read More

Mhasibu Wizara ya Afya kizimbani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Wizara ya Afya, Yahaya Athuman (39) akishitakiwa kwa makosa 20 yakiwamo ya kughushi nyaraka na kuisababishia serikali hasara ya  Sh milioni 34 zilizotolewa na serikali mwaka 2014 kwa ajili ya warsha kuhusu chanjo ya Rubela. Mhasibu huyo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…

Read More

Ushauri huu uzingatiwe

Wiki iliyopita wadau mbalimbali nchini pamoja na wengine kutoka jumuiya ya kimataifa walishiriki mdahalo mahususi kuhusu masuala ya biashara nchini. Katika mdahalo huo mengi yalijitokeza yenye lengo la kuboresha ili hatimaye kupata tija zaidi kwa upande wa tasnia ya biashara nchini. Itakumbukwa kuwa wiki kadhaa kabla ya mdahalo huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

NINA NDOTO (23)

Itumie intaneti isikutumie   Kama kuna watu waliishi kuanzia miaka ya 1990 na kurudi nyuma ukiwarudisha leo duniani wataona maajabu mengi. Dunia imebadilika sana, imekuwa kama kijiji. Leo hii unaweza kuwasiliana na mtu aliyeko nje ya nchi kana kwamba ni jirani yako nyumba ya pili. Leo hii jambo lolote likitokea duniani ndani ya muda mfupi…

Read More