Author: Jamhuri
Bunge la 13 laanza rasmi, Zungu na Solo watarajiwa kuongoza
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi vikao vyake leo jijini Dodoma, likifungua ukurasa mpya wa safari ya miaka mitano ya kusimamia sera, sheria na mipango ya maendeleo ya Taifa. Katika kikao cha…
Dk. Nyansaho ni uteuzi sahihi kwa uwakilishi wa vijana
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Dar es Salaam Novemba 10, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wabunge sita katika nafasi 10 anazopewa kikatiba. Walioteuliwa ni Dk. Rhimo Nyansaho, Balozi Dk. Bashiru…
Poleni Watanzania, hongera Rais Dk Samia, mwafaka unatuhusu
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Morogororo Leo ni siku 10 tangu Oktoba 29, 2025 siku tuliyofanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Naandika makala hii baada ya kutoka kanisani. Nimekaa, nimetafakari, nikawaza na kuwazua. Yamenijia maono nikaona kupitia makala hii,…
Waratibu wa kitaifa wa nchi za Jujuiya ya Ukanda wa maziwa makuu wakutana jijini Kinshasa
Mkutano wa 20 wa Kawaida wa Waratibu wa Kitaifa wa Nchi za Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) umefanyika tarehe 10 Novemba, 2025 jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – DRC. Mkutano huo ni sehemu ya maandalizi ya…





