Author: Jamhuri
Serikali kupanua uwekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuendelea kufungua milango zaidi ya uwekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini ili kuongeza uzalishaji wa bidhaa za afya na kupanua soko ndani na nje ya Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri…
Jenista Mhagama amkabidhi nyaraka Waziri Mchengerwa
Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Novemba 19, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama. Tukio la makabidhiano ya ofisi limefanyika katika Ofisi za Wizara ya Afya Mtumba, Jijini Dodoma. Waziri…
TPC Ltd yawekeza bilioni 130 /-kuongeza thamani ya mazao ya kilimo
Na Mwandishi wa OMH, Moshi Kampuni ya TPC Limited imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya kiuchumi kufuatia uzinduzi wa mradi wa kimkakati unaolenga kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, kupanua wigo wa viwanda na kuhamasisha ukuaji wa uchumi wa…
Waziri Ndejembi azungumza na menejimenti ya wizara hiyo
WAZIRI wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Menejimenti ya Wizara pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Nishati mara baada ya uapisho uliofanyika Novemba 18, 2025. Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati katika…
Dk Nchimbi awasili Zambia kumwakilisha Rais uwekaji jiwe la msingi uzinduzi wa ukarabati yeli ya TAZARA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Jijini Lusaka nchini Zambia leo Novemba 19, 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika…





