Shirika la Ndege Afrika Kusini hali mbaya
Hali ya kifedha ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) imezidi kudorora na kulilazimisha shirika hilo kusitisha safari za ndani isipokuwa kwenda na kutoka Johannesburg na Cape Town. Hilo limetangazwa wiki iliyopita na timu maalumu ya wataalamu wa biashara iliyopewa jukumu la kuhakikisha shirika hilo halifi. Kwa mujibu wa Les Matuson na Siviwe Dongwana…