Utaratibu mpya wa kusajili kampuni
Na Bashir Yakub Tangu Aprili mwaka huu 2018, utaratibu wa kusajili kampuni umebadilika. Ni tofauti kabisa na ambavyo tulizoea. Hata hivyo, yapo mambo ambayo yamebaki vilevile kama awali, kadhalika yapo mengi pia yaliyobadilika. Tutapitia utaratibu wa awali kidogo na huu mpya. Utaratibu wa awali a) Ulikuwa unatakiwa kuandika barua kuuliza jina unalotaka kutumia kama jina…